sw_est_text_reg/05/03.txt

1 line
271 B
Plaintext

\v 3 Kisha mfalme akamwambia Malkia Esta, "Unahitaji upewe nini? Ombi lako ni lipi? Hata nusu ya ufalme wangu utapewa." \v 4 Malkia Esta akamwambia mfalme, kama nimepata kibali machoni pako, naomba wewe na Hamani muhudhurie leo katika karamu niliyoiandaa kwa ajili yake."