sw_est_text_reg/04/15.txt

1 line
409 B
Plaintext

\v 15 Kisha Esta akatuma ujumbe kwa Modekai, \v 16 "Nenda, uwakusanyea Wayahudi wote wanaoishi katika mji wa Shushani, na wafunge kwa ajili yangu. Wasile wala kunywa kwa muda wa siku tatu. Mimi na watumishi watumishi wangu wa kike tutafunga kwa siku hizo. Na kisha nitaenda mbele ya mfalme kinyume cha sheria. Na kama nitakufa na nife. \v 17 Modekai akaenda na akafanya yote ambayo Esta aliyo mwagiza kufanya.