sw_est_text_reg/04/13.txt

1 line
286 B
Plaintext

\v 13 Modekai akarudisha ujumbe: "usifikiri kwamba wewe utasalimika kuliko Wayahudi wote. \v 14 Kama ukikaa kimya kwa wakati huu, Mungu ataleta wokovu kwa njia nyingine, lakini wewe na nyumba ya baba yako mtaangamia. Ni nani ajuaye umekuja katika nafasi hii kwa wakati muafaka kama huu.