sw_est_text_reg/04/09.txt

1 line
478 B
Plaintext

\v 9 Hivyo, Hathaki akaenda na kumweleza Esta kile alicho ambiwa na Modekai. \v 10 Esta akaongea na Hathaki na akamwambia arudi kwa Modekai. \v 11 Esta akamwambia Hathaki, "Watumishi wote wa mfalme na watu wote katika majimbo yote wanafahamu kuwa mtu yeyote aingiae kwa mfalme bila kibali anapaswa kufa isipokuwa yule ambaye mfalme atamunyoshea fimbo yake ya dhahabu. Ni siku thelathini sasa sijaenda mbele ya mfalme. \v 12 Hathaki akamwambia Modekai maneno aliyoambiwa na Esta.