sw_est_text_reg/03/10.txt

1 line
202 B
Plaintext

\v 10 Ndipo mfamle akavua pete yake ya muhuri na kumpa Hamani, adui wa Wayahudi. \v 11 Mfalme akamwambia Hamani, "Nitahakikisha kwamba fedha inarudi kwako na kwa watu wako. Ili muitumie kama mpendavyo."