sw_est_text_reg/09/06.txt

1 line
369 B
Plaintext

\v 6 Katika ngome ya mji wa Shushani pekee jumla ya maadui waliouawa na kuharibiwa na Wayahudi ni wanaume mia tano. \v 7 Miongoni mwa waliouawa ni pamoja na Parishandatha, Dalphoni, Aspatha, \v 8 Poratha, Adalia, Aridatha, \v 9 Parimashita, Arisai, Aridai, Vaizatha, \v 10 na wana kumi wa Hamani, mwana wa Hammedatha, adui wa Wayahudi. Lakini hawakuchua mateka yoyote.