sw_est_text_reg/09/03.txt

1 line
453 B
Plaintext

\v 3 Wakuu wote wa majimbo, maakida na magavana, na watawala wa mfalme, waliwasaidia Wayahudi kwa kuwa hofu ya Modekai ilikuwa imewaangukia. \v 4 Kwa kuwa Modekai alikuwa mkuu katika nyumba ya mfalme, na umaarufu wake, ukasambaa katika majimbo yote, kwa kuwa Modekai alikuwa akifanyika mkuu. \v 5 Wayahudi wakawavamia maadi zao kwa upanga, wakiwatenda vibaya kama walivyokuwa wamekusudiwa mabaya dhidi yao Wakawatenda kama walivyo ona vyema machoni pao.