sw_est_text_reg/08/07.txt

1 line
420 B
Plaintext

\v 7 Mfalme Ahusiero akamwambia Esta na Modekai, Muyahudi, tazama nimempa Esta nyumba yote ya Hamani,na wamemtundika Hamani katika mti kwa sababu,alikuwa amekusudia kuwaangamiza Wayahudi wote. \v 8 Hivyo andika mbiu nyingine kwa ajili ya Wayahudi kwa jina la mfalme na uipige muhuri kwa pete ya mfalme. Kwa sababu mbiu imekwisha andikwa kwa jina la mfalme na kugongwa muhuri kwa pete ya mfamle, na haiwezi kubatilishwa."