sw_est_text_reg/08/05.txt

1 line
352 B
Plaintext

\v 5 Esta akasema, "Kama ikikupendeza na kama nimepata kibali mbele zako, agiza mbiu ipigwe ili kubatilisha barua zilizoandikwa na Hamani mwana wa Hammedatha muagagi, barua alizoziandika ili kuwaangamiza Wayahudi wote walikuwa katika majimbo yote ya mfalme. \v 6 Ninawezaje kuona ubaya ukiwapa watu wangu? Ninawezaje kutazama uharibifu wa jamaa zangu?"