|
\v 3 Kisha Esta akaongea tena na mfalme. Akaanguka chini na kulia mbele za mfalme, akimsihi Mfalme abatilishe njama ya kuwaua Wayahudi wote, iliyokuwa imetangazwa na Hamani Muagagi \v 4 kisha mfalme akamnyoshea Esta fimbo yake ya dhahabu, akainuka na kusimama mbele ya mfalme. |