sw_est_text_reg/07/06.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 6 Esta akasema, "Ni huyu mwovu Hamani, adui!" Hamani akashikwa na Hofu mbele za mfalme na malkia. \v 7 Na kwa ghadhabu mfalme akatoka karamuni katika sehemu ya mvinyo na akaenda katika bustani ya ikulu, Lakini Hamani alibaki akimsihi Malkia Esta ili aokoe maisha yake. Kwa sababu aliona mfalme amemkusudia ubaya.