sw_est_text_reg/07/03.txt

1 line
493 B
Plaintext

\v 3 Kisha Malkia amwambia mfalme, kama nimepata kibali machoni pako, na kama ikikupendeza, nipewe maisha yangu, na hili ndio haja ya moyo wangu, na hili pia ni ombi kwa watu wangu pia. \v 4 Kwa kuwa mimi na watu wangu tumeuzwa, ili tuharibiwe, tuuwawe, na tuangamizwe. Kama tungeuzwa utumwani, kama wanaume na wanawake, ningenyamaza kimya, na nisingeweza kumsumbua mfame." \v 5 Kisha Mfalme Ahusiero akamwambia malkia Esta, "Ni nani huyo? Ni nani aliyekusudia moyoni mwake kutenda jambo hili?