sw_est_text_reg/07/01.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 1 Kwa hiyo mfalme na Hamani wakaenda kausherekea na malkia Esta. \v 2 Katika siku ya pili, baada ya kuletwa mvinyo, mfalme akamwambia Esta, "Ni nini haja ya moyo wako? Na nini ombi lako? Hata nusu ya ufalme wangu utapewa."