sw_est_text_reg/06/07.txt

1 line
508 B
Plaintext

\v 7 Hamani amjibu mfame, Kwa mtu yule ambaye mfalme ampenda na kumuheshimu, \v 8 avikwe nguo za kifalme, mavazi ambayo mfalme amekwisha yavaa na farasi ambaye ametumiwa na mfalme,na ambaye hana taji ya kifalme kichwani mwake. \v 9 Nguo hizo na farasi apewe msimamizi bora kuliko wote. Na wamvike yule ambaye mfalme ampenda na kumuheshimu, na wampandishe juu ya farasi na kumpitisha katika mitaa yote ya mji. Na watangaze mbele yake, "Hivi ndivyo alivyofanyiwa mtu yule ambaye mfalme ampenda na kumuheshimu!"