sw_est_text_reg/05/07.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 7 Esta akajibu mfalme, "Hitaji na ombi langu ni hili, \v 8 kama ikikupendeza mfalme, kwa kunipa haja yangu na kuheshimu ombi langu, wewe na Hamani muhudhurie tena katika karamu nitakayoiandaa kesho na hapo ndipo nitakapo kuambia haja yangu.