sw_est_text_reg/05/01.txt

1 line
401 B
Plaintext

\c 5 \v 1 Baada ya siku tatu, Esta akajivika mavazi yake ya kimalkia na akasimama sehemu ya ndani ya ua wa ikulu ya mfalme, mbele ya nyumba ya mfalme. mfalme alikuwa ameketi katika kiti chake cha enzi, na akitazama mlango wa kuingilia. \v 2 Mfalme alipomwona malkia Esta, alipata kibali kwa mfalme. Alimpa fimbo ya dhahabu mikononi mwa Esta. Hivyo Esta akamsogelea mfalme na kuishika fimbo ya utawala.