sw_est_text_reg/03/08.txt

1 line
393 B
Plaintext

\v 8 Kisha Hamani akamwambia mfalme Ahusiro, "kuna watu fulani katika majimbo yote ya ufalme wako wasiofuata sheria zako. Na kwa tabia yao ya kutofuata sheria zako, hawapaswi kuishi. \v 9 Kama ikimpendeza mfalme, toa amri watu hawa wote wauawe. Nami nitapima talanta elfu kumi za fedha katika mikono wa wale ambao ni wasimamizi wa maswala ya mfalme, ili kwamba waweke katika hazina ya mfalme."