sw_est_text_reg/03/05.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 5 Hamani alipoona kuwa Modekai hapigi magoti wala kumsujudia, alipatwa na hasira. \v 6 Alikuwa na wazo la kumuua Modekai, watumishi wa mfalme walikuwa wamemueleza kuwa Modekai na jamaa zake walikuwa Wayahudi. Hamani akaazimu kuwaangamiza Wayahudi wote, watu wa Modekai, ambao walikuwa katika ufalme wa Ahusiero.