sw_est_text_reg/02/14.txt

1 line
283 B
Plaintext

\v 14 Msichana alipaswa kwenda wakati wa usiku,na kurudi katika nyumba ya wanawake, na kwa msimamizi Shaashigazi, msimamizi wa mfalme, ambaye alikuwa mwenye kuwalinda masulia. Msichana hakuruhusiwa kwenda tena kwa mfalme, isipokuwa amemfurahisha mfalme na mfalme akaamuru arudi tena.