Thu Nov 03 2022 14:08:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-03 14:08:22 +03:00
parent 0e28ed1c10
commit f4d82f10ed
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Modekai akaandika kwa jina la Mfalme Ahusiero na akazipiga muhuri kwa pete ya mfalme. Akapeleka nyaraka kwa matarishi, akawapandisha kwenye farasi waendao kwa haraka waliotumika kwa huduma ya mfalme, waliozaliwa kwa mfalme. \v 11 Mfalme akawapa Wayahudi wote katika majimbo ya utawala wake kibali cha kukusanyika na kujilinda na ruhusa ya kuangamiza, kuua na kuharibu mtu yeyote aliyekuwa na kusudi la kuwaua Wayahudi wote na kupora mali zao. \v 12 Jambo hili lilipaswa litekelezwe katika majimbo yote ya Mfalme Ahusiero, siku ya ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, ambao ni mwezi wa Adari.
\v 10 Modekai akaandika kwa jina la Mfalme Ahusiero na akazipiga muhuri kwa pete ya mfalme. Akapeleka nyaraka kwa matarishi, akawapandisha kwenye farasi waendao kwa haraka waliotumika kwa huduma ya mfalme, waliozaliwa kwa mfalme. \v 11 Mfalme akawapa Wayahudi wote katika majimbo ya utawala wake kibali cha kukusanyika ,na kujilinda, na ruhusa ya kuangamiza, kuua na kuharibu mtu yeyote aliyekuwa na kusudi la kuwaua Wayahudi wote na kupora mali zao. \v 12 Jambo hili lilipaswa litekelezwe katika majimbo yote ya Mfalme Ahusiero, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili, ambao ni mwezi wa Adari.

View File

@ -94,6 +94,7 @@
"08-03",
"08-05",
"08-07",
"08-09"
"08-09",
"08-10"
]
}