Fri Aug 05 2022 16:52:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-05 16:52:07 +03:00
parent 62bae2f2fe
commit b428a101a6
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Mfalme alimpenda Esta zaidi kuliko wanawake wengine, na alipata kibali na wema mbele zake zaidi ,kuliko mabikira wengine.ivyo mfalme akamvika taji ya kimalkia badala ya Vashiti. \v 18 mfalme akawafanyia karamu kubwa wasimamizi na wahudumu wake wote, karamu ya Esta na akawapa unafuu wa kodi katika majimbo. Pia akawapa zawadi kwa ukarimu.
\v 17 Mfalme alimpenda Esta zaidi kuliko wanawake wengine, na alipata kibali na wema mbele zake zaidi ,kuliko mabikira wengine.Hivyo mfalme akamvika taji ya kimalkia badala ya Vashiti. \v 18 mfalme akawafanyia karamu kubwa wasimamizi na wahudumu wake wote, karamu ya Esta na akawapa unafuu wa kodi katika majimbo. Pia akawapa zawadi kwa ukarimu.