Thu Nov 03 2022 13:56:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-03 13:56:22 +03:00
parent a2c8f1602c
commit 9d827a903a
2 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Kisha Malkia amwambia mfalme, kama nimepata kibali machoni pako, na kama ikikupendeza, nipewe maisha yangu, na hili ndio haja ya moyo wangu, na hili pia ni ombi kwa watu wangu pia. \v 4 Kwa kuwa mimi na watu wangu tumeuzwa, ili tuharibiwe, tuuwawe, na tungamizwe. Kama tungeuzwa utumwani, kama wanaume na wanawake, ningenyamaza kimya, na nisingeweza kumsumbua mfame." \v 5 Kisha Mfalme Ahusiero akamwambia malkia Esta, "Ni nani huyo? Ni nani aliyekusudia moyoni mwake kutenda jambo hili?
\v 3 Kisha Malkia amwambia mfalme, kama nimepata kibali machoni pako, na kama ikikupendeza, nipewe maisha yangu, na hili ndio haja ya moyo wangu, na hili pia ni ombi kwa watu wangu pia. \v 4 Kwa kuwa mimi na watu wangu tumeuzwa, ili tuharibiwe, tuuwawe, na tuangamizwe. Kama tungeuzwa utumwani, kama wanaume na wanawake, ningenyamaza kimya, na nisingeweza kumsumbua mfame." \v 5 Kisha Mfalme Ahusiero akamwambia malkia Esta, "Ni nani huyo? Ni nani aliyekusudia moyoni mwake kutenda jambo hili?

View File

@ -85,6 +85,8 @@
"06-07",
"06-10",
"06-12",
"07-01"
"07-01",
"07-03",
"07-06"
]
}