Thu Nov 03 2022 14:14:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-03 14:14:22 +03:00
parent ab4f7c9376
commit 9b21ad0a68
3 changed files with 5 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Wakuu wote wa majimbo, maakida na magavana, na watawala wa mfalme, waliwasaidia Wayahudi kwa kuwa hofu ya Modekai ilikuwa imewaangukia. \v 4 Kwa kuwa Modekai alikuwa mkuu katika nyumba ya mfalme, na umaarufu wake ukasambaa katika majimbo yote, kwa kuwa Modekai alikuwa akifanyika mkuu. \v 5 Wayahudi wakawavamia maadi zao kwa upanga, wakiwatenda vibaya kama walivyokuwa wamekusudiwa mabaya dhidi yao Wakawatenda kama walivyo ona vyema machoni pao.
\v 3 Wakuu wote wa majimbo, maakida na magavana, na watawala wa mfalme, waliwasaidia Wayahudi kwa kuwa hofu ya Modekai ilikuwa imewaangukia. \v 4 Kwa kuwa Modekai alikuwa mkuu katika nyumba ya mfalme, na umaarufu wake, ukasambaa katika majimbo yote, kwa kuwa Modekai alikuwa akifanyika mkuu. \v 5 Wayahudi wakawavamia maadi zao kwa upanga, wakiwatenda vibaya kama walivyokuwa wamekusudiwa mabaya dhidi yao Wakawatenda kama walivyo ona vyema machoni pao.

View File

@ -1 +1 @@
\v 6 Katika ngome ya mji wa Shushani pekee jumla ya maadui waliouawa na na kuharibiwa na Wayahudi ni wanaume mia tano. \v 7 Miongoni mwa waliouawa ni pamoja na Parishandatha, Dalphoni, Aspatha, \v 8 Poratha, Adalia, Aridatha, \v 9 Parimashita, Arisai, Aridai, Vaizatha, \v 10 na wana kumi wa Hamani, mwana wa Hammedatha, adui wa Wayahudi. Lakini hawakuchua mateka yoyote.
\v 6 Katika ngome ya mji wa Shushani pekee jumla ya maadui waliouawa na kuharibiwa na Wayahudi ni wanaume mia tano. \v 7 Miongoni mwa waliouawa ni pamoja na Parishandatha, Dalphoni, Aspatha, \v 8 Poratha, Adalia, Aridatha, \v 9 Parimashita, Arisai, Aridai, Vaizatha, \v 10 na wana kumi wa Hamani, mwana wa Hammedatha, adui wa Wayahudi. Lakini hawakuchua mateka yoyote.

View File

@ -98,6 +98,8 @@
"08-10",
"08-13",
"08-15",
"09-01"
"09-01",
"09-03",
"09-06"
]
}