Fri Aug 05 2022 16:20:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-05 16:20:07 +03:00
parent aab8d4e5f2
commit 9349f5501e
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Mfalme na achague wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wawakusanye mabikira warembo wote harem katika ikulu ya Susa. Mabikira hawa wawe chini ya usimamizi wa Hegai, msimamizi, ambaye ni mkuu wa wanawake, na wapewe vipodozi vyao vyote. \v 4 Na binti yule atakaye mfurahisha mfalme ndiye atakaye kuwa Malkia badala ya Vashiti." Mfalme alupenda ushauri na akafanya kama alivoshauriwa, \v 3 Mfalme na achague wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wawakusanye mabikira warembo wote harem katika ikulu ya Susa. Mabikira hawa wawe chini ya usimamizi wa Hegai, msimamizi, ambaye ni mkuu wa wanawake, na wapewe vipodozi vyao vyote. \v 4 Na binti yule atakaye mfurahisha mfalme,ndiye atakaye kuwa Malkia badala ya Vashiti." Mfalme alupenda ushauri na akafanya kama alivoshauriwa,