diff --git a/02/03.txt b/02/03.txt index 1fc4407..fbbbc9c 100644 --- a/02/03.txt +++ b/02/03.txt @@ -1 +1 @@ -\v 3 Mfalme na achague wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wawakusanye mabikira warembo wote harem katika ikulu ya Susa. Mabikira hawa wawe chini ya usimamizi wa Hegai, msimamizi, ambaye ni mkuu wa wanawake, na wapewe vipodozi vyao vyote. \v 4 Na binti yule atakaye mfurahisha mfalme,ndiye atakaye kuwa Malkia badala ya Vashiti." Mfalme akapendenwa ushauri na akafanya kama alivoshauriwa, \ No newline at end of file +\v 3 Mfalme na achague wasimamizi katika majimbo yote ya ufalme wake, ili wawakusanye mabikira warembo wote harem katika ikulu ya Susa. Mabikira hawa wawe chini ya usimamizi wa Hegai, msimamizi, ambaye ni mkuu wa wanawake, na wapewe vipodozi vyao vyote. \v 4 Na binti yule atakaye mfurahisha mfalme,ndiye atakaye kuwa Malkia badala ya Vashiti." Mfalme akapendezwa na ushauri na akafanya kama alivyoshauriwa. \ No newline at end of file