Fri Aug 05 2022 15:44:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-05 15:44:07 +03:00
parent 63cdc970a5
commit 6ec7be07b7
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Vinywaji viliandaliwa katika vikombe vya dhahabu. Na kila kikombe kilikuwa ni cha kipekee na kwa sababu ya ukarimu wa mfalme kulikuwa mvinyo mwingi. \v 8 Mfalme aliwambia wahudumu watu wagawiwe vinywaji kwa kila mtu kulingana na matakwa yake. Maana tayari mfalme alikuwa ametoa agizo kwa watumishi wa ikulu kuwafanyia wageni kulingana na matakwa ya kila mgeni.
\v 7 Vinywaji viliandaliwa katika vikombe vya dhahabu. Na kila kikombe kilikuwa ni cha kipekee na kwa sababu ya ukarimu wa mfalme kulikuwa mvinyo mwingi. \v 8 Mfalme aliwambia wahudumu,watu wagawiwe vinywaji ,kila mtu kulingana na matakwa yake. Maana tayari mfalme alikuwa ametoa agizo kwa watumishi wa ikulu kuwafanyia wageni kulingana na matakwa ya kila mgeni.