Fri Aug 05 2022 16:48:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-05 16:48:07 +03:00
parent d281e17445
commit 6a36730626
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Zamu ya Esta ilipotimia( mwana wa Abihaili, mjomba wa Modekai alikuw amemchukua kama kama binti yake) kwenda mbele ya mfalme, hakutaka kitu chochote isipokuwa vile ambavyo Hegai, msimamizi wa wanawake alimtaka avichukue. \v 16 Esta akapata kibali mbele ya kila aliyemwona. Esta akapelekwa kwa Mfalme Ahusiero katika makazi ya kifalme mwezi wa kumi, ambao ni mwezi wa Tabeti, katika mwaka wa saba wa utawala wake.
\v 15 Zamu ya Esta ilipotimia( mwana wa Abihaili, mjomba wa Modekai alikuwa amemchukua kama binti yake) kwenda mbele ya mfalme, hakutaka kitu chochote isipokuwa vile ambavyo Hegai, msimamizi wa wanawake alimtaka avichukue. \v 16 Esta akapata kibali mbele ya kila aliyemwona. Esta akapelekwa kwa Mfalme Ahusiero katika makazi ya kifalme mwezi wa kumi, ambao ni mwezi wa Tabeti, katika mwaka wa saba wa utawala wake.