Fri Aug 05 2022 15:40:07 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
9f94e404f8
commit
63cdc970a5
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 5 Siku hizi zilipotimia, Mfalme aliaandaa karamu iliyodumu kwa siku saba. Karamu hii ilikuwa kwa watu wote walioishi katika ikulu ya Shushani, tangu mkubwa hadi mdogo.karamu ilifanyika katika Behewa la bustani ya ikulu ya mfalme. \v 6 Behewa la bustani, lilipambwa kwa mapazia meupe ya pamba na urujuani, yalifungwa kwa kamba za kitani safi na zambarau, yakiwa yametundikwa kwa pete za fedha na nguzo za marimari. Kulikuwa na makochi ya dhahabu na fedha juu ya sakafu ya marimari, mawe mekundu na meupe, na ya manjano na meusi.
|
||||
\v 5 Siku hizi zilipotimia, Mfalme aliaandaa karamu iliyodumu kwa siku saba. Karamu hii ilikuwa kwa watu wote walioishi katika ikulu ya Shushani, tangu mkubwa hadi mdogo.karamu ilifanyika katika Behewa la bustani ya ikulu ya mfalme. \v 6 Behewa la bustani, lilipambwa kwa mapazia meupe ya pamba na urujuani.yalifungwa kwa kamba za kitani safi na zambarau, yakiwa yametundikwa kwa pete za fedha na nguzo za marimari. Kulikuwa na makochi ya dhahabu na fedha juu ya sakafu ya marimari, mawe mekundu na meupe, na ya manjano na meusi.
|
Loading…
Reference in New Issue