Fri Aug 05 2022 16:58:07 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-08-05 16:58:08 +03:00
parent d8a2439d99
commit 4ea286e4c3
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Jambo lilipowekwa wazi kwa Modekai, alimtaarifu Malkia Esta na Esta akamweleza kile achoelezwa na Modekai. \v 23 Habari hii ilipepelelezwa na kuonekana kuwa kweli na wanaume wawili walinyongwa juu ya mti. Na habari hii ikaandikwa katika kitabu cha taarifa mbele ya mfalme.
\v 22 Jambo hili , lilipowekwa wazi kwa Modekai, alimwarifu Malkia Esta, na Esta akamweleza kile achoelezwa na Modekai. \v 23 Habari hii ilipepelelezwa na kuonekana kuwa kweli na wanaume wawili walinyongwa juu ya mti. Na habari hii ikaandikwa katika kitabu cha taarifa mbele ya mfalme.