Thu Nov 03 2022 14:20:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-03 14:20:22 +03:00
parent 91ad9eb38f
commit 026309406f
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Modekai akaweka mambo haya na akatuma nyaraka kwa Wayahudi wote waliokuwa katika utawala wa Mfalme Ahusiero, \v 21 akiwataka kuazimisha siku ya kumi na nne na kumi na tano ya mwezi wa Adari kila mwaka. \v 22 Hizi zilikuwa ndizo siku ambazo Wahudi walipata faraja kutoka kwa maadui zao na wakati huu ndio wakati ambao huzuni ya Wayahudi iligeuzwa kuwa furaha, na kutoka kwa maombolezo hadi kwenye pumziko. Walipaswa kuzifanya siku za karamu na furaha, na kutumiana zawadi ya chakula, na zawadi kwa masikini.
\v 20 Modekai akaweka mambo haya na akatuma nyaraka kwa Wayahudi wote waliokuwa katika utawala wa Mfalme Ahusiero, \v 21 akiwataka kuadimisha siku ya kumi na nne na kumi na tano ya mwezi wa Adari kila mwaka. \v 22 Hizi zilikuwa ndizo siku ambazo Wayahudi walipata faraja kutoka kwa maadui zao, na wakati huu ndio wakati ambao huzuni ya Wayahudi iligeuzwa kuwa furaha, na kutoka kwa maombolezo hadi kwenye pumziko. Walipaswa kuzifanya siku za karamu na furaha, na kutumiana zawadi ya chakula, na zawadi kwa masikini.

View File

@ -104,6 +104,7 @@
"09-11",
"09-13",
"09-15",
"09-17"
"09-17",
"09-20"
]
}