sw_est_text_reg/02/10.txt

1 line
234 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 10 Esta hakuwa amemweleza mtu yeyote kuhusu jamaa zake,kwa sababu Modekai alikuwa amemzuia. \v 11 kila siku,Modekai alienda na kurudi mbele nje ya ua wa nyumba ya wanawake, ili kwamba asikie kuhusu mambo ya Esta na atakachofanyiwa.