sw_ecc_text_reg/09/13.txt

1 line
380 B
Plaintext

\v 13 Pia nimeona hekima chini ya jua kwa namna ambayo kwangu ilionekana kubwa. \v 14 Kulikuwa na mji mdogo na watu wachache ndani yake, na mfalme mkuu akaja kinyume na mji huo na akauzingira na akajenga mahandaki kwa ajili ya kuushambulia. \v 15 Na katika mji kulikuwa na masikini, mtu mwenye hekima, ambaye kwa hekima yake aliuokoa mji. Ila baadaye aliye mkumbuka yule masikini.