sw_ecc_text_reg/12/01.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 1 Pia mkumbuke Muumba wako katika siku za za ujana, kabla ya siku za ugumu hazijaja, na kabla ya miaka haijafika utakapo sema, "Mimi sina furaha katika hizo," \v 2 fanya hivi kabla ya nuru ya jua na mwezi na nyota havijawa giza, na mawingu kurudi baada ya mvua.