sw_ecc_text_reg/07/27.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 27 "Tafakari kile nilichovumbua," asema Mwalimu. "Nimekuwa nikiongeza uvumbuzi mmoja hadi mwingine ili kwamba nipate ufafanuzi wa ukweli. \v 28 Hii ndiyo bado natafuta, lakini bado sijapata. Sikupata mwanamme mmoja mwenye haki miongoni mwa elfu, lakini sikupata mwanamke miongoni mwa wale wote.