sw_ecc_text_reg/10/16.txt

1 line
241 B
Plaintext

\v 16 Ole wako ardhi kama mfalme wako ni kijana mdogo, na kama viongozi wako huanza karamu asubuhi! \v 17 Lakini umebarikiwa ardhi kama mfalme wako ni mwana wa waungwana, na kama vingozi wako hula wakati muafaka, kwa nguvu, na sio kwa ulevi.