sw_ecc_text_reg/10/10.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 10 Kama chuma bapa kisicho na makali, na mtu hainoi, kisha ni lazima atumie nguvu nyingi, lakini hekima hutoa faida kwa ufaulu. \v 11 Kama nyoka akiuma kabla hajafurahi, hivyo hakuna faida kwa mfurahishaji.