sw_ecc_text_reg/10/05.txt

1 line
275 B
Plaintext

\v 5 Kuna uovu niliouona chini ya jua, aina ya kosa ambalo huja kutoka kwa mtawala: \v 6 Wapumbavu wanapewa nafasi za uongozi, wakati watu walio faulu wanapewa nafasi za chini. \v 7 Nimewaona watumwa wakipanda farasi, na watu walio faulu wakitembea kama watumwa juu ya ardhi.