sw_ecc_text_reg/03/21.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 21 Ni nani ajuaye kama roho ya mwanadamu inaenda mbinguni na roho ya wanyama inaenda ardhini? \v 22 kwa hiyo tena nikatambua kwamba hakuna lililo jema kwa yeyote zaidi ya kufurahia kazi yake, kwa kuwa hilo ndilo jukumu lake. Ni nani awezaye kumleta tena kuona kinachotokea baada yake?