sw_ecc_text_reg/03/16.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 16 Na nimeona kwamba chini ya jua ubaya upo mahali palipopaswa kuwa na haki, na sehemu ya haki mara nyingi ina ubaya. \v 17 Nikajiambia moyoni mwangu, "Mungu atahukumu mwenye haki na mbaya kwa wakati muafaka kwa kila jambo na kila tendo.