sw_ecc_text_reg/02/17.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 17 Hivyo nikauchukia uhai kwa sababu kazi zote zilizofanyika chini ya dunia zilikuwa mbaya kwangu. Hii ni kwa sababu kila kitu ni mvuke na kujaribu kuuchunga upepo. \v 18 Nikachukia yote niliyoyatimiza, ambayo nilikuwa nimekwisha yafanya chini ya jua kwa sababu ni lazima niyaache kwa mtu anaye kuja baada yangu.