sw_ecc_text_reg/02/15.txt

1 line
375 B
Plaintext

\v 15 Kisha nikasema moyoni mwangu, "Kinachotokea kwa mpumbavu, ndicho kitachotokea na kwangu. Hivyo kuna utofauti gani kama mimi ni mwenye hekima sana?" Nikahitimisha moyoni mwangu, "Huu pia ni mvuke tu." \v 16 Kwa kuwa mwenye hekima, kama mpumbavu, hakumbukwi kwa muda mrefu. Katika siku zijazo, kila kitu kitakuwa kimesahauliwa. Mwenye hekima hufa kama navyokufa mpumbavu.