sw_ecc_text_reg/02/04.txt

1 line
261 B
Plaintext

\v 4 Nilitimiza mambo makubwa. Nilijenga nyumba kwa ajili yangu na kupanda miti ya mizabibu. \v 5 Nilitengeneza bustani na viwanja; nikapanda aina zote za matunda ndani yake. \v 6 Nikatengeneza mabwawa ya maji ili kumwagilia msitu mahali miti ilikuwa imepandwa.