sw_ecc_text_reg/02/01.txt

1 line
216 B
Plaintext

\c 2 \v 1 Nikauambia moyoni wangu, "Njoo, na nitakujaribu kwa kwa furaha. Kwa hiyo furahia." Lakini tazama, huu nao ulikuwa ni upepo wa muda. \v 2 Nikasema juu ya kicheko, "Ni wazimu," na kuhusu furaha, "Yafaa nini?"