\v 12 Mwanangu kuwa makini na kitu zaidi, utengenezaji wa vitabu vingi, ambacho hakina mwisho, na kusoma kwingi huleta uchovu mwilini.