Tue Sep 13 2022 09:24:33 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-13 09:24:34 +03:00
parent c85daffe4c
commit 01d35d3a6e
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Chochote kilichopo ndicho kitakachokuwepo, kila kilichofanyika ndicho kitakachofanyika. Hakuna jipya chini ya jua. \v 10 Je kuna jambo lolote ambalo watu wanaweza kusema, 'Tazama, hili ni jipya'? Chochote kilichopo kimekwisha kuwepo muda mwingi, wakati uliokuwepo kabla yetu. \v 11 Hakuna anayeonekana kukumbuka kilichotokea nyakati za zamani. Na mambo yaliyo tokea siku zilizo pita na yale yatakayo tokea siku za mbele nayo hayatakumbukwa."
\v 9 Chochote kilichopo ndicho kitakachokuwepo, kila kilichofanyika ndicho kitakachofanyika. Hakuna jipya chini ya dunia. \v 10 Je kuna jambo lolote ambalo watu wanaweza kusema, 'Tazama, hili ni jipya'? Chochote kilichopo kimekwisha kuwepo muda mwingi, wakati uliokuwepo kabla yetu. \v 11 Hakuna anayeonekana kukumbuka kilichotokea nyakati za zamani. Na mambo yaliyo tokea siku zilizo pita na yale yatakayo tokea siku za mbele nayo hayatakumbukwa."

View File

@ -37,6 +37,7 @@
],
"finished_chunks": [
"01-01",
"01-04"
"01-04",
"01-07"
]
}