sw_deu_text_reg/27/13.txt

1 line
205 B
Plaintext

\v 13 Haya ni makabila ambayo lazima yasimame juu ya mlima Ebali kutamka laana: Rubeni, Gadi, Asheri, Zabuloni, Dan na Naftali. \v 14 Walawi watajibu na kusema kwa wanamume wote wa Israeli kwa sauti kubwa: