sw_deu_text_reg/20/19.txt

1 line
400 B
Plaintext

\v 19 Wakati mtakapouzingira mji kwa muda mrefu, huku mkipigana dhidi yake kuuteka, hampaswi kuharibu miti yake kwa kushika shoka dhidi yake. Kwa kuwa utaweza kula matunda yake, kwa hivyo usiukate. Kwa maana mti wa kondeni mtu ambaye atauzingira? \v 20 Ila miti ambayo unaijua sio miti ya chakula, unaweza kuharibu na kuikatia chini; utajenga maburuji dhidi ya mji unaofanya vita nawe, mpaka uanguke.