sw_deu_text_reg/19/06.txt

1 line
345 B
Plaintext

\v 6 Vinginevyo damu ya mlipiza kisasi atamfuata yeye aliyetoa uhai, na kwa hasira kali anampita kwa sababu ilikuwa safari ndefu. Na anampiga na kumuua, ijapokuwa mtu huyo akustahili kufa; na hata akustahili adhabu ya kifo kwa sababu hakumchukia jirani yake kabla hili halijatokea. \v 7 Basi sasa ninakuamuru kuchagua miji mitatu kwa ajili yako.