sw_deu_text_reg/12/31.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 31 Hautafanya hivyo katika kumuabudu Yahwe Mungu wako, kwa kuwa kila kitu ambacho ni chukizo kwa Yahwe, mambo ambayo anayachukia- wamefanya haya na miungu yao, hata mnateketeza vijana wao na binti zao kwenye moto kwa ajili ya miungu yao. \v 32 Chochote ninakuamuru, chunguza. Usiongeze juu yake au kupunguza.