sw_deu_text_reg/11/02.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 2 Kumbuka kwamba siongei kwa watoto wako, ambao hawajajua wala kuona hukumu ya Yahwe Mungu wako, ukuu wake, mkono wake wa uweza, mkono wake ulionyoshwa, \v 3 Ishara na matendo ambayo alifanya katikati ya Misri kwa Farao, mfalme wa Misri, na nchi yake yote.